Pages

Monday, April 16, 2012

PICHA ZA MARLAW, BOB JUNIOR, TIP TOP CONNECTION, AKUDO IMPACT, AMINI NA KHADIJA KOPA WALIVYOFUNIKA DAR LIVE

Madee kutoka Kundi la Tip Top Connection akiwarusha mashabiki.
Msanii Bob Junior akiwapagawisha mashabiki
Msanii Amini akilitawala jukwaa la Dar Live.
Kiongozi wa Akudo Impact, Christian Bella akionyesha ufundi wake jukwaani.
Msanii Tunda Man akiwapa tano mashabiki wake.
Marlaw akiwapagawisha wapenzi wa burudani ndani ya Dar Live kwa miondoko ya kiduku.
Malkia wa mipasho nchini, Khadija Kopa akiwadatisha wapenzi wa taarab.
Dogo Janja wa Tip Top Connection akiwarusha mashabiki wake.
 Wanenguaji wa Akudo Impact wakilishambulia jukwaa.
 Ma DJ waliokuwa wakisababisha burudani mahali hapo wakiwa mzigoni.Picha Zote na Richard Bukos/GPL
---
Wasanii Marlaw, Bob Junior, Amini, Khadija Kopa na Kundi la Tip Top Connection jana walifunika vilivyo katika shoo yao iliyofanyika ndani ya Ukumbi wa Kisasa wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem, jijini Dar es Salaam.
:) :( ;) :D ;;-) :-/ :x :P :-* =(( :-O X( :7 B-) :-S #:-S 7:) :(( :)) :| /:) =)) O:-) :-B =; :-c :)] ~X( :-h :-t 8-7 I-) 8-| L-) :-a :-$ [-( :O) 8- 2:-P (:| =P~ #-o =D7 :-SS @-) :^o :-w 7:P 2):) X_X :!! \m/ :-q :-bd ^#(^ :ar!

No comments: