Pages

Tuesday, April 17, 2012

WASHINDI WA KILIMANJARO MUSIC AWARD KUFANYA ZIARA MIKOANI.

Meneja Masoko wa kinywaji cha Kilimanjaro Lager George Kavishe (kulia) akizungumza na waandishi wa habari  kuhusiana na ziara ya washindi wa tuzo za Kilimanjaro Music Award 2012 katika mkutano uliofanyika kwenye ukumbi wa Savannah Lounge jijini Dar es salaam. Katikati ni msanii Diamond miongoni mwa washindi wa tuzo hizo na kushoto ni Afisa Masoko wa EATV Olympia  Fraten.
Msanii nyota wa Bongo Fleva nchini Diamond akizungumza na waandishi wa habari wakati wa mkutano huo.

Afisa Masoko wa EATV Olympia  Fraten akizungumza wakati wa mkutano huo ambapo amesema ziara nzima ya washindi wa tuzo za Kilimajaro Music Award 2012 itarushwa na kituo cha Televishini cha EATV. Kulia ni Mratibu wa Tuzo (BASATA) Bw. Angelo Luhala, Wa pili kulia ni Meneja  Masoko Kinywaji cha Kilimanjaro Lager Bw. George Kavisha na Msanii Diamond.

:) :( ;) :D ;;-) :-/ :x :P :-* =(( :-O X( :7 B-) :-S #:-S 7:) :(( :)) :| /:) =)) O:-) :-B =; :-c :)] ~X( :-h :-t 8-7 I-) 8-| L-) :-a :-$ [-( :O) 8- 2:-P (:| =P~ #-o =D7 :-SS @-) :^o :-w 7:P 2):) X_X :!! \m/ :-q :-bd ^#(^ :ar!

No comments: