inabidi watu kupaki magario pembeni then mnapanga foleni na vidumu
waandishi wa habari wakiwa wanaelekea kazini
Kigamboni kwa leo hakuna mafuta kabisa,sijajua kama serikali isipotoa tamko leo itakuwaje!
HEEEEEEEEEEELLLLLLLLLLLLP!!!!!!!!!! I SAY WE NEED HELP!!!!
No comments:
Post a Comment