Last week nikitokea kigamboni kupitia mbagala nilipita Dar Live.nikiwa na vijana wangu tukaona si mbaya kwakuwa sikuwahi kufika zaidi ya kupasikia atleast nijue pana nini?
Tulikuta wakiandaa hiyo temporary swimming pool kwaajili ya watoto
pia i had fun kuangalia vituko vya huyu nyani.
The place is good. wakazi wa mbagala sasa safari za kwenda kustarehe mbali zitapungua.
No comments:
Post a Comment