Pages

Wednesday, September 14, 2011

AJALI YA NDEGE NANE NANE UYOLE, MBEYA



 abiria walionusurika na ajali ya ndege
 Ndege yenye namba  9J-BIO SESINA 206 imeanguka katika kijiji cha Uyole Nane nane mkoani Mbeya jana saa tatu asubuhi. Abiria wote wanne waliokuwemo ndani ya ndege hiyo walinusurika kufariki na hali zao ni nzima kabisa.
Abiri waliokuwepo katika ndege hiyo wametajwa kuwa ni Bwana Jver Waak  49,raia wa Africa kusini ambae pia likuwa ni Pilot
Bwana Christian Basil Mmasi 30, Afisa utawala wa mashamba ya kapunga wilayani mbarali,
Bwana Mohamed Ramia 64 mkazi wa jijini Dar es salaam eneo la masaki, na
Bwana Sunny Tayir 50, mfanyakazi wa Export Trading ambae ni raia wa India

:) :( ;) :D ;;-) :-/ :x :P :-* =(( :-O X( :7 B-) :-S #:-S 7:) :(( :)) :| /:) =)) O:-) :-B =; :-c :)] ~X( :-h :-t 8-7 I-) 8-| L-) :-a :-$ [-( :O) 8- 2:-P (:| =P~ #-o =D7 :-SS @-) :^o :-w 7:P 2):) X_X :!! \m/ :-q :-bd ^#(^ :ar!

1 comment:

christa said...

walikuwa wanaenda kufanya ufisadi. tihii!! tiiihiii!!tiiihiiii