Shukrani za pekee zimuendee kila mmoja wenu kwa moyo mliotupa during that hard time, pia kwa wakazi wote wa bukoba mjini na mubunda kwa ushirikiano wenu,wanachama wa vyama vyote ambavyo mzee na mama Mashobe ni members,kwakweli ushirikiano wenu sijapata kuuona popote katika maisha yangu yote.
Shukrani zaidi ziende kwa rafiki mkuu wa familia, KNCU,wakuu wa Mikoa mbalimbali waliofika na wale waliotuma wawakilishi, tunatambua na kuthamini michango yenu,PIC wote kwa moyo wa upendo na support mliyonipa bila kuiacha nyuma Familia yangu(Manyanga, Kituwai, Karugaba) kwa jinsi mlivyoupa uzito msiba huu.najua si rahisi kushukuru kila mmoja, lakini natambua umuhimu wenu, mchango wenu wa hali na mali mlionipa nilipokuwa mwenyewe hapa Dar es salaam na hata baada ya kuungana na wapendwa wanafamilia yangu Bukoba.najua kuwa sina cha kuwapa kwakuwa upendo mlionipa unanipa deni moyoni mwangu, ila Mungu awazidishie pale mlipotoa na Upendo wake uwazunguke daima.Nawapenda Wote.
At Morogoro bus stop, we pick my brother in law Mugisha who came from mbeya and we met there
my in law Lucian and my son stanley and Ronny
if you are going anywhere with Ronny and you know that you will stay in that place more than a day make sure you have this pillow beside you, la sivyo hatalala and he will cry for the whole night
Dodoma
we make another stop here and have our lunch at The Whimpy
Thats my plate na nilimaliza lol!!!
then we had another stop in singida at my wifi's house
dada na kaka(sisy&brother in law)Emma & lucian crying
Senkenke, siku hizi wazoefu wa hii barabara wanasema si pabaya kama palivyokuwa hapo zamani na ajali kwenye hili eneo zimepungua sana.Big up kwa serikali yetu.Big up pia kwa road signs,sina malalamiko.
sinzia tu mwanangu, safari bado ni ndefu,
Kahama, tulilala hapa and thnx to Eric and your family, they are living in Bukoba but say we should sleep in their house in Kahama
the next day when we were on the way to Bukoba, somewhere tairi ya nyuma ikapasuka! thnx God hatukuwa kwenye high speed
tushabadili tyre
Mugisha my brother in law telling mama the situation
At Muleba ilibidi tusimame tule kwanza, few kilometers to Bukoba mjini.
Bukoba mjini,sikuweza kupata picha zaidi ya hii coz tulipofika kilio kilianza upya na kila mtu alikuwa amechanganyikiwa sana.
The next day Ronny aliamka analia sana,tukampeleka Hospital, I can say Bukoba ni mkoa pekee wenye hospital nyingi na nzuri labda kuliko mikoa yote Tanzania.Nilikutana na hii message mlangoni kwa Doctor nikaipenda
hapa ni Hospital Bukoba mjini, hii Hospital ni kubwa sana na ni hospital safi sana kimazingira na kuna utulivu wa hali ya juu.hapa tulipoenda kumchukua baba na kumpeleka nyumbani kijijini kwake Mubunda ambapo kwa sheria zao ni lazima alale nyumbani kwake kabla ya maziko.
Ronny anajaribu kuonyesha alivyo msafi lol!!
Tukiwa njiani kumpeleka baba Mubunda
Tulifika Mubunda na kupokelewa na umati wa waombolezaji, hakukuwa na hata sehemu takusogeza mguu, baba alikuwa ni mtu mwenye upendo na heshima sana.
Dada na wadogo zake
Mama, kaka Lucian and dada Anitha
Ronny showing bibi his hand
here is where my father in law has been laid to rest in Peace
my mama saying goodby to dada Anitha
mama saying something to his boy Evelynus
a hug to Emma
Mrs Eve and my darling mama
mama and his boy
Victor"Gray make sure you take my mama in law polepole!"
Thanks shem Grayson.God Bless you and your family always
The next day kama mnavyojua kila makabila yana mila zake,hasa inapotokea kuwa mzee wa familia ndie aliefariki,hapa Lucian alisimikwa kuwa mzee wa familia,so wanafamilia wakipita kumpa mkono.
Asubuhi
Nellitha, Shukuru na Emma
Tumemaliza kumlaza baba yetu salama na ratiba imeenda kama ilivyopangwa.Ijumaa tulienda kutembea kidogo kijijini
3 comments:
R.I.P dady in law !!! polen sn Meggy..Emima
aminiiia....fantastic!!!cjjahudhuria lakini nimeona kama nilikuwepo mwanzo-mwsho!!thanks.
sikujua kama Victor alimpoteza baba yake, poleni sana.nashukuru Mungu naona kila kitu kilienda salama.
Post a Comment