Pages

Wednesday, June 22, 2011

REST IN PEACE MY FATHER IN LAW MR EVARIST MASHOBE

  June 11th i lost my beloved father in law,a loving, caring father to my husband and a grand dad to my son.kazi ya Mungu haina makosa, tulimpenda sana baba, lakini Mungu alimpenda zaidi.
  Shukrani za pekee zimuendee kila mmoja wenu kwa moyo mliotupa during that hard time, pia kwa wakazi wote wa bukoba mjini na mubunda kwa ushirikiano wenu,wanachama wa vyama vyote ambavyo mzee na mama Mashobe ni members,kwakweli ushirikiano wenu sijapata kuuona popote katika maisha yangu yote.
  Shukrani zaidi ziende kwa rafiki mkuu wa familia, KNCU,wakuu wa Mikoa mbalimbali waliofika na wale waliotuma wawakilishi, tunatambua na kuthamini michango yenu,PIC wote kwa moyo wa upendo na support mliyonipa bila kuiacha nyuma Familia yangu(Manyanga, Kituwai, Karugaba) kwa jinsi mlivyoupa uzito msiba huu.najua si rahisi kushukuru kila mmoja, lakini natambua umuhimu wenu, mchango wenu wa hali na mali mlionipa nilipokuwa mwenyewe hapa Dar es salaam na hata baada ya kuungana na wapendwa wanafamilia yangu Bukoba.najua kuwa sina cha kuwapa kwakuwa upendo mlionipa unanipa deni moyoni mwangu, ila Mungu awazidishie pale mlipotoa na Upendo wake uwazunguke daima.Nawapenda Wote.

 At Morogoro bus stop, we pick my brother in law Mugisha who came from mbeya and we met there
 my in law Lucian and my son stanley and Ronny


 if you are going anywhere with Ronny and you know that you will stay in that place more than a day make sure you have this pillow beside you, la sivyo hatalala and he will cry for the whole night



 Dodoma

 we make another stop here and have our lunch at The Whimpy


 Thats my plate na nilimaliza lol!!!
 then we had another stop in singida at my wifi's house

 dada na kaka(sisy&brother in law)Emma & lucian crying
 Senkenke, siku hizi wazoefu wa hii barabara wanasema si pabaya kama palivyokuwa hapo zamani na ajali kwenye hili eneo zimepungua sana.Big up kwa serikali yetu.Big up pia kwa road signs,sina malalamiko.
sinzia tu mwanangu, safari bado ni ndefu, 
 Kahama, tulilala hapa and thnx to Eric and your family, they are living in Bukoba but say we should sleep in their house in Kahama
 the next day when we were on the way to Bukoba, somewhere tairi ya nyuma ikapasuka! thnx God hatukuwa kwenye high speed
 tushabadili tyre



 Mugisha my brother in law telling mama the situation


At Muleba ilibidi tusimame tule kwanza, few kilometers to Bukoba mjini.
 Bukoba mjini,sikuweza kupata picha zaidi ya hii coz tulipofika kilio kilianza upya na kila mtu alikuwa amechanganyikiwa sana.
The next day Ronny aliamka analia sana,tukampeleka Hospital, I can say Bukoba ni mkoa pekee wenye hospital nyingi na nzuri labda kuliko mikoa yote Tanzania.Nilikutana na hii message mlangoni kwa Doctor nikaipenda



 hapa ni Hospital Bukoba mjini, hii Hospital ni kubwa sana na  ni hospital safi sana kimazingira na kuna utulivu wa hali ya juu.hapa tulipoenda kumchukua baba na kumpeleka nyumbani kijijini kwake Mubunda ambapo kwa sheria zao ni lazima alale nyumbani kwake kabla ya maziko.

 Ronny anajaribu kuonyesha alivyo msafi lol!!
 Tukiwa njiani kumpeleka baba Mubunda

 Tulifika Mubunda na kupokelewa na umati wa waombolezaji, hakukuwa na hata sehemu takusogeza mguu, baba alikuwa ni mtu mwenye upendo na heshima sana.


 Dada na wadogo zake


Mama, kaka Lucian and dada Anitha
 
Ronny showing bibi his hand

here is where my father in law has been laid to rest in Peace







my mama saying goodby to dada Anitha





mama saying something to his boy Evelynus
a hug to Emma

Mrs Eve and my darling mama

mama and his boy


Victor"Gray make sure you take my mama in law polepole!"
Thanks shem Grayson.God Bless you and your family always

The next day kama mnavyojua kila makabila yana mila zake,hasa inapotokea kuwa mzee wa familia ndie aliefariki,hapa  Lucian alisimikwa kuwa mzee wa familia,so wanafamilia wakipita kumpa mkono.






 Asubuhi

 Nellitha, Shukuru na Emma

 Tumemaliza kumlaza baba yetu salama na ratiba imeenda kama ilivyopangwa.Ijumaa tulienda kutembea kidogo kijijini





























:) :( ;) :D ;;-) :-/ :x :P :-* =(( :-O X( :7 B-) :-S #:-S 7:) :(( :)) :| /:) =)) O:-) :-B =; :-c :)] ~X( :-h :-t 8-7 I-) 8-| L-) :-a :-$ [-( :O) 8- 2:-P (:| =P~ #-o =D7 :-SS @-) :^o :-w 7:P 2):) X_X :!! \m/ :-q :-bd ^#(^ :ar!

3 comments:

Anonymous said...

R.I.P dady in law !!! polen sn Meggy..Emima

Anonymous said...

aminiiia....fantastic!!!cjjahudhuria lakini nimeona kama nilikuwepo mwanzo-mwsho!!thanks.

Anonymous said...

sikujua kama Victor alimpoteza baba yake, poleni sana.nashukuru Mungu naona kila kitu kilienda salama.