Pages

Wednesday, January 11, 2012

MZEE KIPARA AAGA DUNIA

Mzee Fundi Saidi maarufu kama Mzee Kipara, amabaye alikuwa maarufu kwenye sanaa ya maigizo ameaga dunia leo Asubuhi kutokana na maradhi yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu.Mzee kipara ameaga dunia akiwa maeneo ya kigogo yalipokuwa makazi yake.
Megvictor Mash tunatoa pole kwa familia, wapenzi wote wa sanaa ya maigizo, ndugu, jamaa na marafiki wa karibu wa marehemu.
:) :( ;) :D ;;-) :-/ :x :P :-* =(( :-O X( :7 B-) :-S #:-S 7:) :(( :)) :| /:) =)) O:-) :-B =; :-c :)] ~X( :-h :-t 8-7 I-) 8-| L-) :-a :-$ [-( :O) 8- 2:-P (:| =P~ #-o =D7 :-SS @-) :^o :-w 7:P 2):) X_X :!! \m/ :-q :-bd ^#(^ :ar!

No comments: