Pages

Tuesday, August 16, 2011

my last Birthday

 young Vivy,  lil Nobert Scooby and moi
 Vivy and madam xikobe

 caramel Janeth and vivi a.k.a vivica
 Emima and hubby
 Fiona and her George
 Mr & Mrs Xikobe
 the man himself
 Emmy and me
 flory, me and Asha



 sisterly love


:) :( ;) :D ;;-) :-/ :x :P :-* =(( :-O X( :7 B-) :-S #:-S 7:) :(( :)) :| /:) =)) O:-) :-B =; :-c :)] ~X( :-h :-t 8-7 I-) 8-| L-) :-a :-$ [-( :O) 8- 2:-P (:| =P~ #-o =D7 :-SS @-) :^o :-w 7:P 2):) X_X :!! \m/ :-q :-bd ^#(^ :ar!

7 comments:

Anonymous said...

wote mlipendeza sana

Anonymous said...

huyo fiona na huyo george walivyo wazuri kama ni couple wanapendeza sana kwakuwa wote ni wazuri,hiyo party ilifanyika dar au wapi? watanzania mnapenda sana kufanya parties, kila blog ya mtu hasa hawa kina dada ukifungua post huwezi kupita post kumi hujaona akiwa kwenye party au akifanya matanuz, muda wa kujenga nchi ni saaa ngapi?

Anonymous said...

wanauzuri gani kwanza huyo mwanaume mwenyewe anaonekana kama mdada? napenda mwanaume handsome lakini si awe handsome mpaka anairritate.haloooooooooooooo!!!!!

Anonymous said...

hivi wabongo hamkosagi manenop jamani?we awe mzuri au mbaya inawahusu nini?
hivyo ndivyo Mungu kamuumba, kwako mbaya kwa mwingine mzuri, au kwako mzuri kwa mwingine mmbaya.

Anonymous said...

hao wanaobusiana hapo wanaibiana, ila bila wivu mlipendeza.huyo dada caramel janeth namfahamu, anafanya kazi precision na ndugu yangu ila nasikia dem kwa mibaba ni balaa.

Anonymous said...

mama hii kitu haukunialika jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Frida.

Anonymous said...

kwani kila sherehe lazima akualike? hapo ndipo ninaposhangaa watu wengi, kama mtu alikualika kwenye party moja that doesnt mean akiwa na nyingine lazima ualikwe.amka wewe anonyimoushapo juu.