Pages

Friday, May 18, 2012

VIRGINIA MOKIRI AIBUKA MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS HIGHER LEARNING DODOMA 2012 NDANI YA UKUMBI WA KILIMANI USIKU WA KUAMKIA LEO


Redds Miss Higher learning 2011 Jackline Kinabo (aliyekaa) ambae amemaliza muda wake akiwa tayari kumvalisha taji Mshindi wa Miss Redds Higher Learning 2012 katika ukumbi wa kilimani usiku wa kuamkia leo 
Mshindi wa Taji la Redds Miss Higher Learning Dodoma Mwaka 2012 Virginia Mokili (Katikakati) akiwa katika Picha ya Pamoja na Mshindi wa Pili wa Taji hilo Jenipher Mafuru (Wa Kwanza Kulia) na Mshindi wa tatu Lilian Maleo (Wa Kwanza Kushoto) mara baada ya Shindano Kumalizika
Washiriki walioshiriki Katika Shindano la Kumsaka Kimwana Wa Redds Elimu Ya Juu Kanda ya Dodoma wakiwa katika Picha Ya Pamoja Kabla warembo walioingia Tano Bora Kutajwa
Baadhi ya Washiriki wa Shindano la Kumsaka Mlimbwende Wa Redds Elimu ya Juu Kanda ya Dodoma 2012 walipokua wakipita Jukwaani Kuonyesha Mavazi yao
 Jaji Mkuu wa Shindano la Kumsaka Mlimbwende wa Redds Elimu ya Juu Kanda ya Dodoma akisoma Majina ya Washiriki waliobahatika Kuingia Hatua ya Tano Bora
Warembo waliofanikiwa kuingia katika Hatua Ya Tano Bora wakiwa katika Picha ya Pamoja kama wanavyoonekana
Mmoja wa washiriki alipokua Akichagua swali tayari kwa kulijibu
Msanii wa Kizazi Kipya Barnaba Akitoa Burudani katika shindano La Kumsaka Mlimbwende wa Redds Elimu ya Juu Kanda ya Dodoma 2012 katika Ukumbi wa Kilimani Usiku wa Kuamkia leo
Afisa Utamaduni Wa Manispaa ya  Dodoma Mh Kishosha akimkabidhi Zawadi Mshindi wa Kwanza wa Taji la Redds Miss Higher Learning Dodoma 2012 Virginia Mokiri Mara Baada ya Kuibuka Mshindi
Mshindi wa Pili wa Taji la Redds Miss Higher Learning Dodoma 2012 Jennipher Mafuru akipokea Zawadi zake Kutoka Kwa Afisa Utamaduni wa Manispaa ya Dodoma Mh Kishosha Mara baada ya Kutangazwa Kuwa Mshindi Wa Pili
Mshindi wa tatu wa taji la Redds Miss Higher Learning Dodoma 2012 Lilian Maleo akipokea zawadi ya King'amuzi kutoka Kampuni ya Star Time huku anayemkabidhi ni Afisa Utamaduni wa Manispaa ya Dodoma
Walimbwende walipokua wakitoa burudani kwa mashabiki na watazamaji waliokuja kushuhudia ni nani atakayeibuka kidedea na Kuwa Redds Miss Higher Learning Dodoma 2012 shindano lililofanyika Katika Ukumbi wa Kilimani 
 Mshindi wa Taji la Redds Miss Higher Learning Dodoma 2012 Virginia Mokiri akiwa katika Picha ya Pamoja na Mmiliki wa mtandao wa LUKAZA BLOG, Josephat Lukaza Mara baada ya Kutangazwa mshindi katika kinyanganyiro cha Kuwania Taji la Redds Miss Higher Learning 2012 huku LUKAZA BLOG ikiwa mmoja kati ya Wadhamini wa Shindano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Kilimani usiku wa Kuamkia leo
 Baadhi ya wwatazamaji waliojitokeza kushuhudia nani ataibuka mshindi wa taji hilo usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Kilimani
Washiriki wote wa Kuwania Taji la Miss Higher Learning Dodoma 2012 wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wadhamini wa shindano hilo lililofanyika Katika Ukumbi wa Kilimani huku Virginia Mokiri Kuibuka MShindi wa Taji hilo.
:) :( ;) :D ;;-) :-/ :x :P :-* =(( :-O X( :7 B-) :-S #:-S 7:) :(( :)) :| /:) =)) O:-) :-B =; :-c :)] ~X( :-h :-t 8-7 I-) 8-| L-) :-a :-$ [-( :O) 8- 2:-P (:| =P~ #-o =D7 :-SS @-) :^o :-w 7:P 2):) X_X :!! \m/ :-q :-bd ^#(^ :ar!

No comments: