Pages

Monday, May 21, 2012

MAMA ASHA GHARIB BILAL MGENI RASMI MAADHIMISHO YA MIAKA MIWILI YA TAASISI YA TUSHIKAMANE PAMOJA FOUNDATION


 MBunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Shy-Rose Bhanji, akipita jukwaani na vazi la Harusi kwa mikogo,  wakati wa hafla ya maadhimisho ya kusherehekea kutimiza miaka miwili ya Taasisi ya Tushikamane Pamoja Foundation, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diambond Jubilee, jana Mei 20, 2012.
 Mke wa Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mama Margareth Samue Sitta, akipita jukwaani na vazi la asili kwa mikogo, wakati wa hafla ya maadhimisho ya kusherehekea kutimiza miaka miwili ya Taasisi ya Tushikamane Pamoja Foundation, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diambond Jubilee, jana Mei 20, 2012.
 Mchezaji wa mpira wa Kikapu, Hasheem Thabeet, akipita jukwaani na vazi la asili kwa mikogo,  wakati wa hafla ya maadhimisho ya kusherehekea kutimiza miaka miwili ya Taasisi ya Tushikamane Pamoja Foundation, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diambond Jubilee, jana Mei 20, 2012.
 Mwanamitindo wa kimataifa flaviana matata akiwa katika picha ya pamoja na Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, wakati wa hafla ya maadhimisho ya kusherehekea kutimiza miaka miwili ya Taasisi hiyo, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diambond Jubilee, jana Me i 20, 2012.
 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa hafla ya maadhimisho ya kusherehekea kutimiza miaka miwili ya Taasisi ya Tushikamane Pamoja Foundation, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diambond Jubilee, jana Mei 20, 2012.
 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi zawadi ya ua mwananmitindo maarufu, Mustafa Hassanali, wakati wa hafla ya maadhimisho ya kusherehekea kutimiza miaka miwili ya Taasisi ya Tushikamane Pamoja Foundation, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diambond Jubilee, jana Mei 20, 2012.
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi zawadi ya ua mmoja wa wanachama wa Taasisi ya Tushikamane Pamoja Foundation’,  Joha Simba, wakati wa hafla ya maadhimisho ya kusherehekea kutimiza miaka miwili ya Taasisi hiyo, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diambond Jubilee, jana Me i 20, 2012. Picha na Amour Nassor

:) :( ;) :D ;;-) :-/ :x :P :-* =(( :-O X( :7 B-) :-S #:-S 7:) :(( :)) :| /:) =)) O:-) :-B =; :-c :)] ~X( :-h :-t 8-7 I-) 8-| L-) :-a :-$ [-( :O) 8- 2:-P (:| =P~ #-o =D7 :-SS @-) :^o :-w 7:P 2):) X_X :!! \m/ :-q :-bd ^#(^ :ar!

No comments: