Pages

Monday, May 14, 2012

Bonanza la castle lager super fan lafana sana jijini Dar

Meneja wa Bia ya Castle lager,Kabula Nshimo (wa pili kulia) akikabidhi Kombe wa Nahodha wa Timu fans wa facebook waliopo katika kurasa ya facebook ya Castle Lager Tanzania walioibuka kidedea kwenye bonanza la kufunga ligi kuu ya England na kuzinduliwa kwa kampeni ya kumpata shabiki bora (Supre Fan) atakaeweza kuungana na washabiki wengingine kutoka nchi mbali mbali Barani Afrika kwenda kushuhudia fainali za Mashindano ya Afrika,nchini Afrika ya kusini.Bonanza hilo liliandaliwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia Bia yake ya Castle Lager kwenye fukwe ya Mbalamwezi jijini Dar Es Salaama.
Furaha ya ushindi kwenye bonanza la kufunga ligi kuu ya England na kuzinduliwa kwa kampeni ya kumpata shabiki bora (Supre Fan) atakaeweza kuungana na washabiki wengingine kutoka nchi mbali mbali Barani Afrika kwenda kushuhudia fainali za Mashindano ya Afrika,nchini Afrika ya kusini.
:) :( ;) :D ;;-) :-/ :x :P :-* =(( :-O X( :7 B-) :-S #:-S 7:) :(( :)) :| /:) =)) O:-) :-B =; :-c :)] ~X( :-h :-t 8-7 I-) 8-| L-) :-a :-$ [-( :O) 8- 2:-P (:| =P~ #-o =D7 :-SS @-) :^o :-w 7:P 2):) X_X :!! \m/ :-q :-bd ^#(^ :ar!

No comments: