Pages

Friday, April 13, 2012

Just In: Kutoka Jijini Mbeya muda huu wadau wapewa vinywaji ndani Harusi Ukumbi wa Mkapa kisa Waalikwa wanaiba vinywaji sana na mapochi yao makubwa.


HII NI SEHEMU KUU AMBAYO MAHARUSI 
WANATEGEMEA KUKAA 
MUDA MCHACHE UJAO
HII NI MEZA KUU AMBAPO WENYEWE 
HAWAJA WEKEWA RAMBO

HIVI NDIVYO UKUMBI WA MKAPA UNAVYO 
ONEKANA KWA NDANI 
 WAKIWA WANA ANDAA VINYWAJI 
KABLA YA KUWAPA WAGENI 
WAALIKWA MUDA HUU
 VINYWAJI VIKIWA VIMEKAMILIKA KWA
 AJILI YA KUGAWIWA KWA 
WAGENI WAALIKWA 
WAGENU WAALIKWA WAKIWA 
WANAPITA KUPATA RAMBO AMBAYO
 INA VUNYWAJI NDANI MUDA HUU
 BAADHI YA WAGENI WAALIKWA 
WAKIWA WANAPATA
 VINYWAJI MUDA SI MREFU

 MMOJA WA WANAKAMATI WAKIWA 
WANAWEKA VINYWAJI SAWA KWA 
AJILI YA KUWAPA WAGENI WAALIKWA
WADAU WAKIWA WAMEWEKA 
RAMBO CHINI HUKU 
WAKIPATA VINYWAJI
:) :( ;) :D ;;-) :-/ :x :P :-* =(( :-O X( :7 B-) :-S #:-S 7:) :(( :)) :| /:) =)) O:-) :-B =; :-c :)] ~X( :-h :-t 8-7 I-) 8-| L-) :-a :-$ [-( :O) 8- 2:-P (:| =P~ #-o =D7 :-SS @-) :^o :-w 7:P 2):) X_X :!! \m/ :-q :-bd ^#(^ :ar!

No comments: