Pages

Thursday, April 12, 2012

BREAKING NUUUUZ LIVE !!: KITABU KIDOGO CHA KUHUSU MAREHEMU KANUMBA CHATOKA CHAUZWA 3000 MAENEO YA UBUNGO

 KAVA LA NJE LA KITABU HICHO KINACHO MZUNGUMZIA MAREHEMU KANUMBA
HUU NI UKURASA WA MWANZO KABISA UNAPO FUNGUA KITABU HICHO

*******
KATIKA HALI ISIYO YA KAWAIDA MUDA HUU MAENEO YA UBUNGO KUMEIBUKA MAUZO YA NAKALA MOJA YA KITABU AMBACHO KINAMUELEZEA MAREHEMU KANUMBA NA MAMBO MENGINE, KITABU  HICHO AMBACHO MPAKA TUNAPO RIPOTI MUDA HUU ENEO LA TUKIO KINAUZWA NA WATU WENGI SANA WANANUNUA KWA KIASI CHA SHILINGI ELFU TATU PEKEE.

PIA IKUMBUKWE MAREHEMU NI JUZI TUU AMEZIKWA MSIBA UNAENDELEA LAKINI WATU KUPITIA MGONGO WA MAREHEMU WANAFANYA BIASHARA HIYO YA KUUZA COPY HIZO

MSEMO HUU KWELI UPO? KUFA KUFAANA! JE  TABIA HII NANI ALAUMIWE NANI AIKOMESHE?
:) :( ;) :D ;;-) :-/ :x :P :-* =(( :-O X( :7 B-) :-S #:-S 7:) :(( :)) :| /:) =)) O:-) :-B =; :-c :)] ~X( :-h :-t 8-7 I-) 8-| L-) :-a :-$ [-( :O) 8- 2:-P (:| =P~ #-o =D7 :-SS @-) :^o :-w 7:P 2):) X_X :!! \m/ :-q :-bd ^#(^ :ar!

No comments: