Pages

Thursday, February 9, 2012

HARAMBEE YA MSIBA WA MTANZANIA MWENZETU CHRISTAVINA KUSAGA CRYOR, WASHINGTON DC

Marehemu Christavina na mume wakiwa wanakata keki siku ya harusi yao
 
Familia ya Kusaga inawaomba watanzania wote walioko Marekani na hasa eneo la Washington DC na vitongoji vyake kushirikiana nao katika harambee (fundraising) ili kupata pesa ya mazishi ya mtanzania mwenzetu Christavina Kusaga Cryor aliyefariki February 7, 2012 kwa sarakani ya utumbo (Colon Cancer)
Marehemu alikuwa akiishi Landover, MD. Ameacha mume na watoto  wawili- mvulana wa miaka 4 na msichana wa miaka 2. Alikuwa akisumbuliwa na cancer ya utumbo.

Tafadhali fika tushirikiane kusaidia mume wake na watoto na familia wamzike mpendwa wao. Jumla ya gharama za mazishi ni $11,000, na mpaka sasa ni $2,000 tu imepatikana. Tunashukuru kwa waliokwisha saidia.
Harambee itakuwa Jumapili February 12, 2012, kuanzia saa 8.30 mchana (2.30pm).
Anuani ni: 3621 Campus Drive, College Park, MD 20740.
Kwa wale wa mbali au wasioweza kuhudhuria tafadhali tusaidie mchango wako kwa kutumia Capital One Bank, Account# 1351500235; Routing # 255071981. Tafadhali eneza habari hii kwa ndugu na marafiki wote. Asanteni sana kwa ushirikiano wenu katika wakati huu mgumu.

Kwa habari zaidi mpigie: Magoma (202.607.1976); Adelaida (240.602.3183); Matinyi (301.792.2832); Mkakile (240.938.3177); Teddy (301.25441696); Makaya (202.460.1044); Latifah (240.603.7353); au Rebecca (202.580.4648). 
****************************R.I.P Christavina****************************
:) :( ;) :D ;;-) :-/ :x :P :-* =(( :-O X( :7 B-) :-S #:-S 7:) :(( :)) :| /:) =)) O:-) :-B =; :-c :)] ~X( :-h :-t 8-7 I-) 8-| L-) :-a :-$ [-( :O) 8- 2:-P (:| =P~ #-o =D7 :-SS @-) :^o :-w 7:P 2):) X_X :!! \m/ :-q :-bd ^#(^ :ar!

3 comments:

Anonymous said...

Hello there! Would you mind if I share your blog with my
myspace group? There's a lot of people that I think would really appreciate your content. Please let me know. Many thanks
My site :: Western Australia

Anonymous said...

I loved as much as you will receive carried out right here.
The sketch is tasteful, your authored material stylish.

nonetheless, you command get got an edginess over that
you wish be delivering the following. unwell unquestionably come further formerly again since exactly the same nearly very often inside case you shield this
increase.
Feel free to surf my blog post : Genital Warts Treatment

Anonymous said...

Appreciation to my father who shared with me on the topic of this web site, this website is in fact amazing.


My web blog: life quotes
My web page > life quotes