Pages

Thursday, December 29, 2011

R.I.P John Ngahyoma

Ni habari za kusikitisha juu ya kifo cha mwanahabari mkongwe John Ngahyoma ambaye ameaga dunia leo asubuhi.Msiba uko nyumbani kwa marehemu Tabata.
MegvictorMash tumeupokea msiba huu kwa masikitiko makubwa, na tunaitakia Familia ya marehemu moyo wa uvumilivu katika kipindi hiki kigumu sana kwao.
Bwana ametoa na Bwana Ametwaa Jina La Bwana Lihimidiwe.
:) :( ;) :D ;;-) :-/ :x :P :-* =(( :-O X( :7 B-) :-S #:-S 7:) :(( :)) :| /:) =)) O:-) :-B =; :-c :)] ~X( :-h :-t 8-7 I-) 8-| L-) :-a :-$ [-( :O) 8- 2:-P (:| =P~ #-o =D7 :-SS @-) :^o :-w 7:P 2):) X_X :!! \m/ :-q :-bd ^#(^ :ar!

No comments: