Pages

Wednesday, November 30, 2011

REST IN PEACE WINNIE KALINGA, REST IN ETERNAL PEACE GIRL.

 Gone too soon, too young, with lots of big Good dreams.You left every woman in BRM with tears in our eyes.you were so strong girl.WE LOVE YOU SO MUCH, BUT GOD LOVES YOU MORE.
Every BRM is deeply shocked at your  sudden death.
May God give you eternal rest & may your Soul Rest in Peace!


:) :( ;) :D ;;-) :-/ :x :P :-* =(( :-O X( :7 B-) :-S #:-S 7:) :(( :)) :| /:) =)) O:-) :-B =; :-c :)] ~X( :-h :-t 8-7 I-) 8-| L-) :-a :-$ [-( :O) 8- 2:-P (:| =P~ #-o =D7 :-SS @-) :^o :-w 7:P 2):) X_X :!! \m/ :-q :-bd ^#(^ :ar!

17 comments:

Anonymous said...

Rest in peace winnie,kweli she has gone too soon

Anonymous said...

yaani huyu dada aliona kabisa kifo chake.nina imani Mungu amemfungulia milango.Roho yake ikapumzike kwa amani amina

Anonymous said...

ooh Winnie,juzi tu tarehe 25 november uliomba wakina mama wenzako wakuombee, leo umeondoka? uende salama dada yangu.kweli na Kila Nafsi itaonja mauti.

Anonymous said...

Really sad Winnie umetuacha kweli too soon Mungu amekupenda zaidi. We will miss you

Anonymous said...

msiba wako ni fundisho kubwa sana kwa sisi kina mama.R.I.P

Anonymous said...

nasikia alisuka dada wa watu, na amechagua picha itakayowekwa kwenye t.shirt yake,wavae bright colours kwakuwa ndizo alizokuwa anapenda na ameomba marafiki zake wavae mahereni makubwa kwakuwa ndiyo aliyokuwa anavaaga,wampambe na wajipambe siku ya mazishi yake.kweli huyu dada alikuwa msafi mbele za Mwenyezi Mungu.kama asingekuwa msafi, asingeweza kuonyeshwa kifo chake kiasi hicho.

Anonymous said...

inaniuma sana.sikutegemea kama leo hii tungeandika haya maneno juu yako

Anonymous said...

Mwenyezi Mungu aipe familia ya marehemu nguvu katika kipindi hiki kigumu

Anonymous said...

kilichobaki ni kuiombea familia ya marehemu pamoja na huyo mtoto wa siku moja aliemuacha

Anonymous said...

leo ni safari yako ya mwisho Winnie,Mwenyezi Mungu aipe roho yako pumziko la milele na malaika walinzi wkailinde familia yako daima

Anonymous said...

Huu msiba ni mkubwa sana hasa kwetu sisi kina mama jamani.blog karibu zote wameuandika.maziko ni leo saa kumi makaburi ya kinondoni.

Anonymous said...

inauma sana jamani she was soo swit..RIP Winnie

Anonymous said...

yani huyu dada nasikia wakati wote wa operation alikuwa akisikia maumivu na aliwaambia madoctor wakamuongezea ganzi lakini akawa bado anasikia maumivu,alikaa siku moja tu baada ya kujifungua akaaga dunia, halafu kabla alikuwa kwenye graduu ya mtoto wake jumamosi then jumapili akapelekwa hospital,alipewa maji ya uchungu na hata later akatundikiwa dripu ya uchungu lakini haikusaidia.alifariki juzi jumatatu nakuacha kachanga kake.aliongea na marafiki zake akawapa maelezo na mpangilio wote na hata nywele alikuwa ameshazisuka.status zake za mwisho pia kwenye facebook na kwenye group la bongo real mamaz zote ni kama alikuwa ameshahisi atafariki.so sad,na sitaki kukubali kuwa kila kifo ni mipango ya Mungu.madaktari wanahusika hapo.

Anonymous said...

simfahamu huyu dada, lakini story yake imenifanya nikaumia sana.hivi kwanini kama ni uzembe wa madaktari wasifungiwe?

Anonymous said...

Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe

Anonymous said...

More than sad.. yaani inaniuma sanaa simfahamu but its soo hard to believe kifo chake kwa kweli ni pigo sana.. mwenyezi mungu ana mipango yake katika maisha ya mwanadamu yeye ndo mpangaji ya yote.. nasi sote ni wapita njia..MAY YOU SOUL REST IN PEACE WINNIE SEE U THERE AMEN

Anonymous said...

My God, nasikitika sana kusikia huyu dada tayari ni marehemu, ni muda mrefu sana nilimwona, baada ya kuona picha yake kwenye facebook nikahisi namfahamu ndipo nilipoamua kumuuliza zaidi kama kweli ni yeye kwani nilikuwa rafiki yake kipenzi wa kaka yake ambaye naye kwa muda mrefu hapatikani, hivyo leo nikaamua kumuuliza kama anafahamu kakake yuko wapi! La kushangaza mbele ya message zake katika facebook nikaona neno "Mungu ailaze Roho yake Winnie mahali pema peponi" Nimeumia sana kwani nimetuma ujumbe kwa marehemu! Mungu wanga sina la kusema kuhusu Winnie. Roho yake ipumzike kwa Amani.