Pages

Tuesday, November 22, 2011

my weekend in Kigoma

Ilove Kigoma, with this tulivumbua cocktail tukaiita MaRoLu,moi, Rose and Lulu.When you are in Kigoma dont forget to ask for MaRoLu.

I woke up earl in the morning that weekend, i felt so lonely and boring, and angry, just a mchanganyiko wa all that bad feelings, nikaona isiwe shida sana, then that same morning at 4 am nikajiandaa kumi na mbili kamili ikanikuta airport, bahati nikapata nafasi Air Tanzania , then huyoooooooooooooooo!!!!
nikaelekea kigoma where my husband is. i always run for his shoulder everytime am down.he is the only place i can feel safe.
Bahati mbaya tukiwa angani tukatangaziwa kuwa kuna hitilafu kidogo coz the main battery was overheating so we had an emergency landing in Dodoma kwa masaa mawili , baada ya hapo tukaendelea na safari.My four nights in Dodoma was the bomb.aisee asikuambie mtu Kigoma ni pazuri, i fell in love with the place.
Mji unakua si mchezo, haufanani na last time nilipokuwa huko,nasikia wanakiendeleza kiwanja cha ndege, majengo mengi mapya mazuri, mji mzima unawaka taa as  wana taa za barabarani sasa hivi na nikusafi. Naamini hakuna mtu anazaliwa na kukua kwa siku moja,as time goes on Kigoma is also going somewhere, i hope usafiri wa Reli na barabara pia utaimarishwa coz watu wengi zaidi wanatumia usafiri huo ambao bado ni mgumu.Big up sana kwa ATC kuanzisha trip za kigoma,huduma zao ni nzuri na kwa bei nafuu coz last time before this a return ticket ilikuwa karibu million moja!! Ilikuwa ni lazima uondoke na Precision au Flight 540 to Mwanza then pale ndiyo balaa, upande Auric kuelekea Kigoma!!yani mtu gharama na muda inakuwa kama unaenda nje ya nchi.
Much love to all the beautiful people and their families who gave me a warm welcome
Beautiful Happy People.love you all

Tired at Lake Tanganyika Hotel
:) :( ;) :D ;;-) :-/ :x :P :-* =(( :-O X( :7 B-) :-S #:-S 7:) :(( :)) :| /:) =)) O:-) :-B =; :-c :)] ~X( :-h :-t 8-7 I-) 8-| L-) :-a :-$ [-( :O) 8- 2:-P (:| =P~ #-o =D7 :-SS @-) :^o :-w 7:P 2):) X_X :!! \m/ :-q :-bd ^#(^ :ar!

1 comment:

Anonymous said...

mlikulaje bata?????????????????????