Msaada jamani, mimi nachukia sana watu ambao wako so extrem, juzi nimeweka picha yangu kwenye wall yangu facebook,bahati mbaya au nzuri nimepiga picha nimekaa hivyo soli ya kiatu changu inaonekana, imeniuma sana baada ya baadhi ya watu kuanza kukandia eti uzuri wa kiatu haumati, kinachomata ni designer, kwamba siku hizi mambo ni christian Loubotin, but i was wearing Zara!!they dont even know how much nilinunua my shoes.binafsi nafikiri uzuri wa kitu uko machoni kwa mtu mwenyewe, si lazima kwakuwa cl zinauzwa ghali au ndiyo fashion, au zinaoneka nzuri machoni kwako basi mtu atukane au awakandie wasiovaa hizo cl kwasababu kama sasa hivi hizo cl zenyewe ziko on sale kila mtu anaweza aka afford hata kwa wale wanaojidai kuiga na kuishia kuvaa mchina.wale wanaoona cl ni nzuri machoni mwao basi waingie humu watapata tena kwa bei poa tu.
http://www.icclshoes.com/christian-louboutin-plateform-daffodile-shoes-p-467
usitoe email yangu ila pia usinibanie
2 comments:
umenifurahisha sana dada.kuna watu wanajidai kwenda na fasheni wanaishia kuvaa mchina.kiatu inabidi ukivaa uwe na vingine kwenye pochi la sivyo vinawezakuvunjika.
cl, cl, cl bongo? hebu pelekeni ujinga wenu huko.mnaacha kuhangaika na maisha na familia zenu zinakula majani nyie mnahangaika na cl.mtachanika misamba kwa kuiga.
Post a Comment