Pages

Monday, August 1, 2011

Hi Dolls!

Jamani thnx all of you for your comments, suggestions and kind thoughts, i consider every e mail sent to me even if i cant answer them one by one on time but that doesnt mean that i ignore any of it. sasa kwa wale waliokuwa wanaomba niachie comments moja kwa moja nasikitika kuwaaambia kuwa nitafanya hivyo later but for now bado nitaendelea kuzuia due to the fact that watu wengi wanacomment vitu vya ajabu na kutukana watu wanaowaona kwenye picha kitu amabacho naona si sawa, but dont worry kwa wale wote walioomba hivyo, may be we will do it one day. Thanks Again.love you All.
:) :( ;) :D ;;-) :-/ :x :P :-* =(( :-O X( :7 B-) :-S #:-S 7:) :(( :)) :| /:) =)) O:-) :-B =; :-c :)] ~X( :-h :-t 8-7 I-) 8-| L-) :-a :-$ [-( :O) 8- 2:-P (:| =P~ #-o =D7 :-SS @-) :^o :-w 7:P 2):) X_X :!! \m/ :-q :-bd ^#(^ :ar!

2 comments:

Anonymous said...

ungeachia tu dada comments zote kila mtu awe free anavyotaka

Anonymous said...

ili watu muanze taarabu zenu za kusutana huku kwenye blog ya dada wa watu? kama unataka kucomment free kuna blog nyingi tu za kimbea zipo kwa ajili ya hilo.