Pages

Thursday, July 28, 2011

WHEN LAURA VISITED ROMANTIC RIVER RHINE.

 baada ya kufunga ndoa maharusi huja hapa na kufunga hizi locks then wanatupa funguo mtoni

 lol!!!! locks nyingine ni za baiskeli, naona ni katika kutaka kuwa unique kidogo

 hapa Laura kasimama katika rhine bridge


hawa ni wanandoa waliofunga ndoa siku moja sehemu moja
 kuna sehemu zilizojaa hata pakufunga hakuna



hata mimi nimeipenda hii

hii ndiyo bridge yenyewe, niliongea na laura akaniambia hajui kama yeye angetupa funguo zote kwenye maji au angeficha spare, kwakuwa aliona sehemu ambazo kuna watu walikata na msumeno!!!!

8 comments:

  1. mimi lazima nichonge kwanza wa spea niufiche kwa hawa wanaume wetu wa siku hizi walivyo feki kama bidhaa za kichina

    ReplyDelete
  2. hii ianzishwe na hapa kwetu daraja la salenda

    ReplyDelete
  3. mateja wa pale watayaiba

    ReplyDelete
  4. hahaa, ikianzishwa tanzania hapo darajani hapata pitika, kila siku tutakuta foleni ya watu wakifunga na foleni wakiyakata .schola

    ReplyDelete
  5. siku hizi watu wanaoana fasheni tu.hakuna mapenzi ya kweli.kutupa funguo zote ni kujitia kitanzi.

    ReplyDelete
  6. huyo Laura nae alienda kufunga lake au kujishaua tu?

    ReplyDelete
  7. nimemuona mtu na mbwa hapo ina maana alifunga ndoa na mbwa au? maana hawa wenzetu huko majuu hamnazo kabisaaa
    missing u sna mamangu, @Meg..

    ReplyDelete
  8. hhahahhahahahhaha jamani izo commets mimi hoi....its nice to have funnie on it...thats nice hahahahhahah mambo ya kujitia kitanzi cha shingoni hayo

    ReplyDelete

Well be back again