Pages

Thursday, July 28, 2011

WHEN LAURA VISITED ROMANTIC RIVER RHINE.

 baada ya kufunga ndoa maharusi huja hapa na kufunga hizi locks then wanatupa funguo mtoni

 lol!!!! locks nyingine ni za baiskeli, naona ni katika kutaka kuwa unique kidogo

 hapa Laura kasimama katika rhine bridge


hawa ni wanandoa waliofunga ndoa siku moja sehemu moja
 kuna sehemu zilizojaa hata pakufunga hakunahata mimi nimeipenda hii

hii ndiyo bridge yenyewe, niliongea na laura akaniambia hajui kama yeye angetupa funguo zote kwenye maji au angeficha spare, kwakuwa aliona sehemu ambazo kuna watu walikata na msumeno!!!!
:) :( ;) :D ;;-) :-/ :x :P :-* =(( :-O X( :7 B-) :-S #:-S 7:) :(( :)) :| /:) =)) O:-) :-B =; :-c :)] ~X( :-h :-t 8-7 I-) 8-| L-) :-a :-$ [-( :O) 8- 2:-P (:| =P~ #-o =D7 :-SS @-) :^o :-w 7:P 2):) X_X :!! \m/ :-q :-bd ^#(^ :ar!

8 comments:

Anonymous said...

mimi lazima nichonge kwanza wa spea niufiche kwa hawa wanaume wetu wa siku hizi walivyo feki kama bidhaa za kichina

Anonymous said...

hii ianzishwe na hapa kwetu daraja la salenda

Anonymous said...

mateja wa pale watayaiba

Anonymous said...

hahaa, ikianzishwa tanzania hapo darajani hapata pitika, kila siku tutakuta foleni ya watu wakifunga na foleni wakiyakata .schola

Anonymous said...

siku hizi watu wanaoana fasheni tu.hakuna mapenzi ya kweli.kutupa funguo zote ni kujitia kitanzi.

Anonymous said...

huyo Laura nae alienda kufunga lake au kujishaua tu?

Anonymous said...

nimemuona mtu na mbwa hapo ina maana alifunga ndoa na mbwa au? maana hawa wenzetu huko majuu hamnazo kabisaaa
missing u sna mamangu, @Meg..

Anonymous said...

hhahahhahahahhaha jamani izo commets mimi hoi....its nice to have funnie on it...thats nice hahahahhahah mambo ya kujitia kitanzi cha shingoni hayo