Pages

Tuesday, July 12, 2011

find time to smell flowers!!!!!

 Success is not about stressing yourself too much!!!sometimes find yourself a little time for a big glass of beer if it relaxes your nerves
 or you can go smell flowers

 or find something to give you a big good laugh
or going far a way, i mean those long drive with a bursting music sound!!! u all know what i mean yeah!!!???
mwaa to you all my dolls

10 comments:

  1. huyu si laura wa tmj? kapendeza sana shosti

    ReplyDelete
  2. wewe annyonyimuos hapo juu unamjua au unataka kujifanya kuwa unamjua huyu dada?

    ReplyDelete
  3. naona wale vizabizabina wa kwenye zile blog zetu za kimbea jina kapuni wanataka kuhamia huku kuja kuchafua hali ya hewa hapa kwenye blog ya kistaarabu ya dada wa watu

    ReplyDelete
  4. wewe kama unamjua ungeweka na jina lako basi ili tukujue.kizabizabina ni wewe sijui bibi au babu usie na kazi zaidi yakutafuta blog za watu nani unamjua na nani humjui.inahuuuuuuuuuuuuuu.........

    ReplyDelete
  5. sijajua nyie maanonymous hapo juu mnagombea nini hapo juu.dada wa watu kapendeza mashalaahh halafu inaonekana anakula magoodtimes kwa sana,isije ikawa inawauma

    ReplyDelete
  6. naambiwa huyu ni ndugu wa mwenye hii blog,kwahiyo muwe makini akijakuona huu ujinga wenu hapa lazima afute comments zenu zote

    ReplyDelete
  7. kwahiyo kama ni ndugu yake sisi inatuhusu nini?

    ReplyDelete
  8. ILA NA WEWE MAGE KWA KUJIFANYA MZUNGU?SASA KUNUSA NUSA MAUA WEWE KUNASAIDIA NINI? MWISHA MTAISHIA KUPATA MAFUA TU HAPO

    ReplyDelete
  9. KWANZA HUYU MNASEMA SIJUI LAURA SIJUI NANI SI NDO HUYU HUYU MAGE? AU ANAMAJINA MENGINE? WADADA WA DARESALAM MNA VITUKO

    ReplyDelete
  10. dada umependeza sana.picha zako zimeendana na stori yenyewe

    ReplyDelete

Well be back again