Pages

Tuesday, July 12, 2011

find time to smell flowers!!!!!

 Success is not about stressing yourself too much!!!sometimes find yourself a little time for a big glass of beer if it relaxes your nerves
 or you can go smell flowers

 or find something to give you a big good laugh
or going far a way, i mean those long drive with a bursting music sound!!! u all know what i mean yeah!!!???
mwaa to you all my dolls
:) :( ;) :D ;;-) :-/ :x :P :-* =(( :-O X( :7 B-) :-S #:-S 7:) :(( :)) :| /:) =)) O:-) :-B =; :-c :)] ~X( :-h :-t 8-7 I-) 8-| L-) :-a :-$ [-( :O) 8- 2:-P (:| =P~ #-o =D7 :-SS @-) :^o :-w 7:P 2):) X_X :!! \m/ :-q :-bd ^#(^ :ar!

10 comments:

Anonymous said...

huyu si laura wa tmj? kapendeza sana shosti

Anonymous said...

wewe annyonyimuos hapo juu unamjua au unataka kujifanya kuwa unamjua huyu dada?

Anonymous said...

naona wale vizabizabina wa kwenye zile blog zetu za kimbea jina kapuni wanataka kuhamia huku kuja kuchafua hali ya hewa hapa kwenye blog ya kistaarabu ya dada wa watu

Anonymous said...

wewe kama unamjua ungeweka na jina lako basi ili tukujue.kizabizabina ni wewe sijui bibi au babu usie na kazi zaidi yakutafuta blog za watu nani unamjua na nani humjui.inahuuuuuuuuuuuuuu.........

Anonymous said...

sijajua nyie maanonymous hapo juu mnagombea nini hapo juu.dada wa watu kapendeza mashalaahh halafu inaonekana anakula magoodtimes kwa sana,isije ikawa inawauma

Anonymous said...

naambiwa huyu ni ndugu wa mwenye hii blog,kwahiyo muwe makini akijakuona huu ujinga wenu hapa lazima afute comments zenu zote

Anonymous said...

kwahiyo kama ni ndugu yake sisi inatuhusu nini?

Anonymous said...

ILA NA WEWE MAGE KWA KUJIFANYA MZUNGU?SASA KUNUSA NUSA MAUA WEWE KUNASAIDIA NINI? MWISHA MTAISHIA KUPATA MAFUA TU HAPO

Anonymous said...

KWANZA HUYU MNASEMA SIJUI LAURA SIJUI NANI SI NDO HUYU HUYU MAGE? AU ANAMAJINA MENGINE? WADADA WA DARESALAM MNA VITUKO

Anonymous said...

dada umependeza sana.picha zako zimeendana na stori yenyewe