Pages

Tuesday, July 19, 2011

Baby Stacey turn 3 last week

some daddies who bring their beautiful kids to celebrate with Stacey 
mamaz doing their things in the kitchen
mama Stacey and other mamaz
baby Stacey checking her gifts
mama giving take away gifts to her children
beautiful mamaz and their kids
:) :( ;) :D ;;-) :-/ :x :P :-* =(( :-O X( :7 B-) :-S #:-S 7:) :(( :)) :| /:) =)) O:-) :-B =; :-c :)] ~X( :-h :-t 8-7 I-) 8-| L-) :-a :-$ [-( :O) 8- 2:-P (:| =P~ #-o =D7 :-SS @-) :^o :-w 7:P 2):) X_X :!! \m/ :-q :-bd ^#(^ :ar!

8 comments:

Anonymous said...

hongereni

Anonymous said...

kuna dada namfananisha hapo.kama ni yeye ninaemjua itakuwa balaa hapa wanaomjua vituko vyake wakimuona.mimi yangu macho

Alice said...

Maggie asante sana, party ilikuwa nzuri thanx to all kids na parents wote waliofika. Nawashukuru sana.

Anonymous said...

inavyoelekea watoto walienjoy sana lakini wakubwa mmmmmmhhh...........

Anonymous said...

hawa watoto ni wazuriiiiiiiiiiiiiiii, they are sooo healthy na big up sana kwa wazazi wao. mimki nashangaa sana hawa ndugu zetu wengine kama jirani yangu hapa grt yarmouth ambae ni mtz pia anashabikia sana kuolewa na wazungu na kuzaa watoto wa kizungu. wabongo ni washamba sana, huyu dada akisikia mbongo kazaa na mzungu anaona sifa sana wakati wananyanyasikaga mpaka mtu unawaonea huruma.siku si nyingi huko nyumbani kutajaa hawa watoto point five mitaani manzese, mbagala, kwa mtogore etc kwasababu ya hawa wadada wanaojilengesha kwa wazungu.

Anonymous said...

wewe anonymous wa yarmouth sasa kama hawa kaka zetu wa kibongo hawajui mapenzi je tufanyeje.unakuta lijanaume halijui hata kubembeleza mke wake au g/f wake yeye ni kujiona kidume kwenye mapenzi sasa tufanyeje pale tunapopata malovi davi?

Anonymous said...

mambo ya ngoswe....

Godwin Habib Meghji said...

Ninawaona vijana wangu wa computer science 2003. Haya ndio magap. miaka michache tulikuwa group moja kumbe sasa hivi nyie ni wazee wa familia. HONGERA