Pages

Wednesday, May 18, 2011

HOW CAN YOU BE NOT COMFORTABLE ?

Hi dolls? leo nimeandikiwa na mtu inbox ananiambia hebu Meg jamani niwekee hii :
hi Meg, tafadhali naomba niwekee hii kwenye blog yako kwakuwa kuna watu wanaboa sana, how can someone eti anaweza kuwa not comfortable of who i am? kwani yeye ina muhusu nini? Binafsi Meg sidhani kama jinsi nilivyo inapaswa kumjalisha mtu tena ambae si ndugu au mzazi wangu.
Nimesikitika sana juzi kuambiwa eti mtu anachukia jinsi nilivyo, alipoulizwa how anasema the way i like to put myself,how can this be her concern?jamani wanawake hebu tuacheni majungu kwa wanawake wenzetu nakuanza kuwasengenya, kama kuna kitu unaona hakiko sawa kama mwanamke kwanini usimface mtu ukamuambia? kwanini kila siku mkikutana kwenye bar basi mbaki mnamuongelea mwenzenu na kumsengenya when talking about her inawapotezea muda wakulijenga taifa na familia zenu?
Meg, no one is perfect, hata hao wanaopoteza muda kuwakosoa wenzio ndo hoi kabisa
i lov this blog, i love you.
:) :( ;) :D ;;-) :-/ :x :P :-* =(( :-O X( :7 B-) :-S #:-S 7:) :(( :)) :| /:) =)) O:-) :-B =; :-c :)] ~X( :-h :-t 8-7 I-) 8-| L-) :-a :-$ [-( :O) 8- 2:-P (:| =P~ #-o =D7 :-SS @-) :^o :-w 7:P 2):) X_X :!! \m/ :-q :-bd ^#(^ :ar!

1 comment:

Anonymous said...

Pole mamii kama hapendi ulivyo atajibebaa thats how u r she can take it or leave it!

Tena asikuumize kichwa kabisaaaa live ur life mamii