Pages

Wednesday, August 10, 2011

last week when my friends come to pay a visit kwa shemeji yao

hahaaa!! i did have some drinks at home toooo!!
the next day
 sikuweza kununua jameniiiii!!!!!!!!!!!!!
 but i end up buying this!! kuongezea what i have at home!!

10 comments:

  1. hongereni japo mlifanya kwa uchoyo.pombe zote hizo inaelekea mlilewa sana.

    ReplyDelete
  2. i love your style dada, keep it up

    ReplyDelete
  3. nimekuta mahali wanamsema huyu dada.ila haikuwa kwa ubaya.

    ReplyDelete
  4. hiyo miguu ina matatizo gani? mbona umeificha ndani ya soksi?

    ReplyDelete
  5. hivi kwanini watu mpoteze hela nyingi hivyo kwenye pombe na anasa? hasa mwezi kama huu mtukufu? wakati mwingine jifunzeni kujitolea sadaka

    ReplyDelete
  6. kama hukualikwa ni kwasababu hawakujui, wabongo kwa kupenda vya bure ni noma

    ReplyDelete
  7. WE MDAU ULIESEMA ANASEMWA, KUSEMWA SUNA, IWE KWA ZURI AU BAYA.

    ReplyDelete
  8. naombeni huku tusije kuleta ule uswahili wa blog zingine na kusema wenzao.kule kuna umbea na kusemana sana.mtu akiwa na hasira na wewe anaenda kukutundika kule.pse pse

    ReplyDelete
  9. heheeeeeeeeeeeeee, makubwaaaaaa.kuna blog nimetoka kusoma eti huyo dem anauliza watu do you want to party like me??? demu mwenyewe ukimuona ni vichekesho.bora wewe dada yetu hunaga makuu.bwaaaahaaaaaaaa

    ReplyDelete
  10. angekuwa hana makuu asingenunua hizo haram hapo mwezi huu mtukufu.wote hawa ni wale wale.

    ReplyDelete

Well be back again