naombeni huku tusije kuleta ule uswahili wa blog zingine na kusema wenzao.kule kuna umbea na kusemana sana.mtu akiwa na hasira na wewe anaenda kukutundika kule.pse pse
heheeeeeeeeeeeeee, makubwaaaaaa.kuna blog nimetoka kusoma eti huyo dem anauliza watu do you want to party like me??? demu mwenyewe ukimuona ni vichekesho.bora wewe dada yetu hunaga makuu.bwaaaahaaaaaaaa
hongereni japo mlifanya kwa uchoyo.pombe zote hizo inaelekea mlilewa sana.
ReplyDeletei love your style dada, keep it up
ReplyDeletenimekuta mahali wanamsema huyu dada.ila haikuwa kwa ubaya.
ReplyDeletehiyo miguu ina matatizo gani? mbona umeificha ndani ya soksi?
ReplyDeletehivi kwanini watu mpoteze hela nyingi hivyo kwenye pombe na anasa? hasa mwezi kama huu mtukufu? wakati mwingine jifunzeni kujitolea sadaka
ReplyDeletekama hukualikwa ni kwasababu hawakujui, wabongo kwa kupenda vya bure ni noma
ReplyDeleteWE MDAU ULIESEMA ANASEMWA, KUSEMWA SUNA, IWE KWA ZURI AU BAYA.
ReplyDeletenaombeni huku tusije kuleta ule uswahili wa blog zingine na kusema wenzao.kule kuna umbea na kusemana sana.mtu akiwa na hasira na wewe anaenda kukutundika kule.pse pse
ReplyDeleteheheeeeeeeeeeeeee, makubwaaaaaa.kuna blog nimetoka kusoma eti huyo dem anauliza watu do you want to party like me??? demu mwenyewe ukimuona ni vichekesho.bora wewe dada yetu hunaga makuu.bwaaaahaaaaaaaa
ReplyDeleteangekuwa hana makuu asingenunua hizo haram hapo mwezi huu mtukufu.wote hawa ni wale wale.
ReplyDelete